Francis Joseph Nyerere, ambaye ni mtoto wa mwisho wa Mzee Joseph Nyerere, amepandisha bendera ya Chadema nyumbani kwao, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, kama inavyoonekana katika picha hii ( wa kwanza kushoto mwa bendera)
Inasemekana Francis anaungana na ndugu yake Vincent ambaye ni mbunge wa Musoma Mjini (Chadema).
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here