People's Magazine
The place where you can find everything...
Home
Wednesday, 27 February 2013
Home
»
Celebrities News
» JOSEPH SHALUWA amchana live JACK wa CHUZ
JOSEPH SHALUWA amchana live JACK wa CHUZ
By
Unknown
14:05
No comments
Kwako,
Jacqueline Pentizel ‘Jack wa Chuz’. Pole kwa changamoto ulizokutana nazo juzi hotelini wakati ukiwa na mteja aliyetaka kuspendi na wewe kwa dola 500. Ni ajali kazini, usiwaze sana.
Tatizo nini ujue sister? Unawadanganya watu. Unapindisha ukweli kuwa uongo. Hapo ndipo ulipokosea zaidi. Siku zote binadamu anapokuwa mkweli ndipo anakuwa huru.
Kudanganya wakati mwingine kunaweza kuwa na maana kama unaongopa kwa lengo la kuficha kitu chenye manufaa lakini pia uwe na ushahidi au mazingira ambayo unaowadanganya hawatakushtukia.
Ni kweli wewe ni muongo, tena muongo mkubwa mwenye ‘shahada ya kwanza ya uongo’ uliyoipata katika Visiwa vya Madagascar ila sasa inaonekana huko ‘chuoni’ ama ulikuwa unachungulia majibu au ulikuwa unatoka na profesa akawa anakubeba!
Gazeti hili toleo lililopita liliripoti habari ya kukunasa ukiwa kwenye mtego wa kwenda kuuzwa kwa ajili ya kufanya ngono kwa dola 500. Siyo siri, muuazaji mwenyewe ni Baby Candy na anaujua ukweli huu, kuwa alikuwa kazini kukuuza. Ushahidi wa kutosha upo.
Kama chombo cha habari siku zote tuko macho kumulika maovu yanayofanywa kwenye jamii. Tukiwa katika kutimiza majukumu hayo hata siku moja hatumsingizii mtu. Tunasimama katika ukweli.
Tunajua ukweli unauma na wengi hawapendi kuambiwa ukweli, wewe ni kati ya watu hao. Mbaya zaidi wakati ukikanusha kwenye runinga unajua wazi kuwa tukio ni la kweli na si filamu kama ulivyokuwa ukijaribu kudanganya.
Nidhamu na maadili unapaswa kusimamia mwenyewe, ukiteleza na kunaswa usitumie nguvu kukanusha, kuwa mkweli. Yaani umenaswa ukitaka kuingia mzigoni na mapatano yamefanyika tena kila kitu kimerekodiwa, gazeti linatoka asubuhi jioni yake tayari upo kwenye kituo cha runinga unakanusha!
Hebu kuwa mkweli mtoto wa kike, kuna filamu ya aina ile? Wasomaji wa Global kwa namna walivyo makini na wakomavu hawawezi kukubaliana na upuuzi uliouongea kwenye runinga. Wanajua unatapatapa tu!
Eti unasema ulikuwa unarekodi filamu?! Ipi? Prodyuza ni nani na mhusika mkuu ni yupi sasa pale? Acha uongo wa kitoto. Ili usiandikwe ishi kwa staha. Wewe ni mtu maarufu, watu wanajifunza kupitia maisha yako, utawaponza hata wasanii wengine chipukizi wenye nia ya kuingia kwenye soko la filamu wazuiwe na wazazi wao wakiamini lipo soko jingine nyuma ya filamu.
Kuishi kwa kutegemea biashara haramu hakuna maana, umepewa kipaji cha sanaa, kwa nini usikitumie vizuri kutafuta riziki yako badala ya kutafuta shotikati?
Acha uongo wa kizamani. Nakuasa usitumie mwavuli wa sanaa kufanya mambo machafu yasiyokubalika katika jamii ya kistaarabu ya Kitanzania.
Utakuwa muungwana kama ukirudi tena kwenye jamii yako na kuitaka radhi si kukanusha kwa maelezo yasiyo na mbele wala nyuma. Fikisha salamu zangu kwa Baby Candy.
Yuleyule,
Mkweli daima,
Joseph Shaluwa
Kwa hisani ya GLP
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Categories:
Celebrities News
← Newer Post
Older Post →
Home
View mobile version
0 maoni:
Post a Comment
Social Profiles
Popular
Tags
Blog Archives
Search this Blog
Jamani msiojua kuandika barua ya Uchumba deseni hapa .....
Sad News: Actress Ini Edo Suffers Miscarriage After Six Years Of Marriage
Reports have it that beautiful actress, Ini Edo, has suffered another miscarriage making her thirdmiscarriage in her husband’s house, ...
Kwa wanaume tu: Njia ya kuzuia kufikia kilele (kupizi) haraka
Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea...
"The 16 Year Old Killer" Cyntoia's Story (full documentary)
In 2004, Cyntoia Brown was arrested for the murder of a 43-year-old man. Cyntoia was a prostitute and he was her client. Film-make...
Baby MADAHA amchana SHILOLE ......
KUTOKANA na bifu linalofukuta kama moto wa kifuu kati ya waigizaji, Flora Mvungi na Zuwena Mohamed ‘Shilole’, staa wa filamu na muziki Bon...
Fashion Police!
Je unajua faida za kutokuwa na mpenzi? soma hapa ......
1. Unalala vizuri 2. Hujali unavyoonekana 3. Hakuna sms usiku wa manane 4. Unaweza kuongea na yeyote 5. Utaishi maisha marefu b...
Clouds FM Wampeleka Lady Jay Dee Mahakamani?
Kuna fununu nimezipata kitaa kuhusu Kampuni ya Clouds Media Group, kumfungilia mashitaka msanii wa Bongo Fleva na kiongozi wa bendi ya Ma...
The face of El Salvador's gangs: 60,000 gang members on verge of war after court ruling threatens shaky truce between two warring factions
Members of both gangs hand over weapons and phones they were keeping illegally in Izalco prison as a means of maintaining the peace esta...
Bifu la Baby Madaha na Diamond bado linaendelea? soma alichokisema Baby Madaha kwenye radio.....
Ili kudhihirisha bado wana bifu Baby Madaha jana kupitia kipindi cha Hot Mix cha EATV aliendelea kutoa vidongo juu ya Rais wa Wasafi (Di...
Powered by
Blogger
.
My favorite News blog
Loading...
Celebrities Gossip
Loading...
.
Tags
Afya
(116)
Broken heart stories
(1)
Celebrities kids
(18)
Celebrities News
(783)
Children
(4)
Death Anouncement
(1)
Dini
(27)
Elimu
(5)
Extraordinary People
(12)
Familia
(26)
Full aibu
(87)
General
(20)
Karibu Jamvini
(1)
Katuni
(11)
Kazi za Jamii
(3)
Magazeti pendwa
(228)
Mahusiano
(281)
Majanga
(16)
mambo ya kuiga
(3)
Mapishi
(2)
Michezo na Burudani
(49)
Mikasa ya Maisha
(2)
Mila na desturi
(14)
Moyo Mpweke
(3)
Msaada kwenye tuta...
(10)
Nyumba
(28)
OMG
(476)
OMG... Black are beautiful
(10)
Picha huongea
(25)
Sayanzi na Tekinolojia
(3)
Siasa
(82)
Tangazo
(2)
Tiba Mbadala
(4)
True story
(77)
Ugaidi
(1)
Ukatili
(55)
umaarufu kazi
(28)
Urembo
(20)
Video
(10)
Vipaji
(3)
Vituko mtaani
(164)
Vivazi na Mitindo
(171)
Wanaume
(32)
Wanawake
(121)
0 maoni:
Post a Comment