
Curvy: Mikel Ruffinelli anapenda umbo lake na amekiri kuwa haoni sababu ya yeye kupungua, inasemekana hutumia kiti maalumu cha chuma mara nyingi anpoama kukaa akiwa nyumbani

Larger than life: Mikel Ruffinelli anakisiwa kuwa mwanamke mwenye hips kubwa kuliko wote duniani hapa akiwa amekumbatia na muwewe - Reggie Brooks

Big love: Mikel Ruffinelli akiwa na mumewe Reggie Brooks wakipunga upepo kwatik pwani ya Los Angeles, California

Mikel Ruffinellli akiandaa chakula cha usiku nyumbani kwake huko Los Angeles , amesisitiza kuwa hana mpango wa kupunguza mwili wake

Biggest fan: Mume wa Mike - Reggie Brooks akipima hips ya mkewe ambayo zinakadiriwa kuwa na ukbwa wa 8ft
0 maoni:
Post a Comment