Full Mapenzi Kanye West atumia hela nyingi kwa KIM
New arm swag: Kanye West ameonyesha mkono wa mpenzi wake KIM uliosheheni vito vya thamani kutoka kwenye duka moja la gharama linalojulikana kama Cartier
City of lights: Kim and Kanye hivi karibuni wamekuwa wakitumia muda mwingi pamoja hapa wakiwa kwenye moja ya safari zao za hivi karibuni huko kwenye mji wa mapenzi na Mwanga , Paris
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here