
Inaonyesha wazi kabisa BALOTELL christmass hii kwake ni mzuri na hasa atapoungana na mwanamke mpya maishani mwake - Mtoto wake wa kwanza Pia Balotelli aliyezaa na ex - mpenzi Raffaella Fico. Inasemekana hadi sasa Balotell hajakutana na kichuna chake hicho zaidi ya kuona pia zake kupitia email! sipati picha mzee wa why always me atadataje atapoonana na hicho kimdada kipya.....
0 maoni:
Post a Comment