!!!!!!!!!!!!!!!!!!????????????? Mke wa mtu huyo..........
Maadili yako wapi? hata kama ndio usupa star mmmmmmmmmmh hii imezidi!! unapofikia kuitwa mume au mke wa mtu kuna baadhi ya vitu inabidi kuvipunguza na kama inawezekana kuviacha kabisa..................
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here