
Je kulikuwa na umuhimu wa hela hizi kutumika kwa njia hii? kuna wangapi wenye shida na matumizi ya muhimu ya hela hizi ? jamani ifikie wakati tumuogope MUNGU na kupunguza mambo yasiyo ya lazima na kufanya yale tayayoleta baraka katika maisha..........
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here