
Ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni .................................. picha hii imechukuliwa huko uswahili ikionyesha adhabu aliyopewa mdada mmoja baada ya kufumaniwa na mume wa mtu! ila hajijalikana kama mkojoaji ndie muhusika i mean mke wa mume aliyefumaniwa au ni shoga ya mke wa mume aliyefumaniwa? Ama hakika kuwa ujaone aaaaaaah usidhani majumba ni mambo kama hayo ya kufikirika....................
No comments:
Post a Comment
Toa ushauri wako au andika chochote hapa ... Leave your comment here