Monday 31 March 2014

Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana? Kufanya ngono

Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana.

10 Tribal Hairstyles We Wish We Could Pull Off

worldofstock.com
Trinket braids -  Ethiopian Daasanach tribe

JIDE: Mimi na GARDNER tunaishi kama kaka na dada!

Kumbe! Super woman katika Afro-Pop, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi? Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Jide alisema kuwa yeye na Gardner wamefikia hatua ya kuishi katika staili hiyo kutokana na mapenzi yao yaliyopitiliza.

LIVERPOOL FANS: "You'll never walk alone". How did this become the teams moto and why?

  • WHAT DOES IT MEAN FOR YOUR TEAM? HOW IMPPORTANT IS IT? IN WHICH CASES IS IT USED, PRINTED... ETC YOU GET THE IDEA...
"You'll Never Walk Alone" was originally part of the great American songbook. It was written by Richard Rodgers and Oscar Hammerstein II for their 1945 musical, Carousel. However, it was memorably covered by Liverpool group Gerry & The Pacemakers and has a long association with Liverpool and its supporters who started singing the song in 1964. It was Liverpool fans most notably in the Kop section of the ground who started the tradition of singing songs at soccer games and this was one of the first songs they sung. It has also been used by other teams most notably Scottish side Celtic. 

Ongezeko la joto lazidi kuwa tishio

Mafuriko kutokana na mabadiliko ya tabia nchi
Mabadiliko ya tabia nchi duniani huenda yakaleta madhara makubwa zaidi na ambayo hayawezi kurekebishika, ripoti ya Umoja wa Mataifa imeonya. Wanasayansi na maafisa wanaokutana nchiniJapan wamesema ripoti hiyo imefanya uchunguzi wa kina kwa sasa kuhusu athari za mabadiliko ya tabia nchi duniani.

Saturday 29 March 2014

Estranged wife of Mercy Johnson’s husband speaks from Canada

mercy johnson
Mercy Johnson and her  husband Odianosen Okojie
Lovely Okojie and her children
Lovely Okojie and her children

After photos that shocked the world, the mom forced to give birth to baby on clinic lawn because nurse refused her treatment has recovered and inspired women's health activists

  • Pregnant Irma Lopez, 29, and her husband - both ethnic Mazatec - walked October 2 to clinic in Oaxaca, but were turned away by nurses  
  • Photo of grimacing Lopez kneeling on patch of grass outside clinic with her newborn son still attached by umbilical cord set off firestorm online
  • Clinic director Dr Adrian Cruz was suspended pending state and federal investigations 
  • Nurses at health clinic blamed 'misunderstanding' on language barrier and being short-staffed 
  • Lopez and her baby, Sabino, made full recoveries
  • Her story has inspired women's health advocates to push for reforms that will prevent this sort of thing from happening again
  • Advocates say it is common for pregnant women to be turned away from medical clinics in Mexico
Healthy: Irma Lopez and her son Sabino went through labor on the lawn of a medical clinic that turned her away
Healthy: Irma Lopez and her son Sabino went through labor on the lawn of a medical clinic that turned her away

Wakorea waagizwa kunyoa kiduku kama Rais wao Kim

Wanaume Korea Kaskazini wanakabiliwa na mtihani mpya katika taifa lao; wa kunyoa nywele kwa mtindo ulioamuliwa na rais wao. Watake, wasitake kuanzia sasa kila mwanamume atalazimika kunyoa nywele zake kwa mtindo anaoupenda Rais Kim Jong- un. Kiongozi huyo kijana, aliyerithi wadhifa huo baada ya kifo cha baba yake, hana mzaha hasa kutokana na nia yake ya kujenga mfumo mpya wa utawala ambao matakwa yake tu ndiyo ya kufuatwa.

Heavy Metal Lover! Lady Gaga goes back to the Eighties with ripped high waisted glitter jeans and a sweet rock and roll tribute T-shirt to her father Joe

Heavy metal lover: Lady Gaga stepped out in an Eighties rock inspired ensemble in New York on Thursday
Heavy metal lover: Lady Gaga stepped out in an Eighties rock inspired ensemble in New York on Thursday

Faida ya Tunda la parachichi mwilini (AVOCADO)

Ndani ya tunda hili kuna maji kiasi kidogo sana ukilinganisha na matunda mengine lakini kuna mafuta mengi na unaweza kuchanganya kula na tunda lingine kama vile apple, ndizi, chungwa au hata maziwa kwa kutengeneza juisi.

TINDIKALI - Licha ya kuwa na mafuta parachichi lina tindikali (acid) mbalimbali ikiwemo inayojulikana kama amino ambayo husaidia sana kukinga na kutibu maradhi katika mwili wa binadamu. Tunda hili pia lina protini ya kiwango cha juu. Pia kuna tindikali inayoitwa oleic acid kwenye parachichi ambayo husaidia kukinga magonjwa ya moyo, kiharusi na kansa.

Rihanna holds Drake's hand as they leave Tramp in the early hours of the morning... following Canadian rapper's final UK show

Taking care of her: Rihanna held on to Drake's hand as they left Tramp on Thursday evening at 4.30 am
Taking care of her: Rihanna held on to Drake's hand as they left Tramp on Thursday evening at 4.30 am

Umaarufu kazi: Mkongo aliyewagombanisha Wolper na Husna huyu hapa.... Siri zao za Kimapenzi zaanikwa, Yadaiwa Wolper ni zaidi ya Husna!

Mambo hadharani! Kigogo ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayewagombanisha mastaa wawili Bongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid ni huyu hapa.... Anaitwa Rajab Mwami Shamweshi. Habari zilizolifikia Ijumaa zilidai kwamba baada ya mtafaruku wa mastaa hao kuripotiwa na gazeti mama la hili, Uwazi la Jumanne iliyopita, jamaa huyo aliibuka na kuanza kulalamika kwa watu wake wa karibu kuwa anachafuliwa mitandaoni kwa sababu ya mastaa hao. 

Thursday 27 March 2014

My favourite photo of the day........

Leaking to the press: Kim revealed this was the picture where baby North had her little accident

Kwa wanaume tu: Njia ya kuzuia kufikia kilele (kupizi) haraka

Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea kusoma.

  • Kufanya mazoezi: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye swala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu.

Unbroken bond: Angelina Jolie arrives at LAX with her children Maddox and Zahara firmly by her side after promoting new film

Unbroken bond: Angelina Jolie arrived at LAX on Tuesday with children Maddox and Zahara after launching her new film in Las Vegas

Unbroken bond: Angelina Jolie arrived at LAX on Tuesday with children Maddox and Zahara after launching her new film in Las Vegas

Wednesday 26 March 2014

Baada ya Kutoka LUPANGO: LULU amchefua aliyemfadhili gerezani? Alimuhahidi Vogue, Milioni , matokeo yake azima simu

HABARI ya mjini hivi sasa ni kuhusu bifu linalotembea chini kwa chini kati ya nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kumchefua vilivyo dada yake wa hiyari, Rose Alphonce Nungu ‘Muna’. Muna ni kati ya watu muhimu waliomsaidia Lulu tangu akiwa nyuma ya nondo, katika Gereza la Segerea baada ya kuwekwa mahabusu wakati akisubiria shauri lake la kesi ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake Steven Kanumba inayomkabili.

11 Reasons You Should Start Eating Mango

11373511_m
Mangos taste so good that you forget how healthy they are. Here are healthy reasons why you should stock up on this king of fruits.
Nutrition by the numbers

‘Gari la DIAMOND’ lapigwa bei


LILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei. Gari hilo linalomilikiwa na pedeshee maarufu Bongo, Mohammed Kiumbe ‘Chief Kiumbe’ limewekwa sokoni baada ya staa huyo kuchemsha kutoa fedha za kulinunua pamoja na kupewa muda wa kufanya hivyo.Awali, iliripotiwa kuwa gari hilo ni mali ya Diamond ambaye alikuwa akitamba nalo kila pembe ya Jiji la Dar huku akijinasibu kwamba amelishalipa fedha za kutosha kwa ‘Big Boss’, Chief Kiumbe.

Born this WAHEY! Lady Gaga steps out in sweeping white ensemble ahead of Roseland Ballroom farewell... as Akon admits he no longer wants to work with her

Drawing a crowd: Lady gaga makes an appearance at the Roseland ballroom in New York City, where she she's performing a series of seven performances
Drawing a crowd: Lady gaga makes an appearance at the Roseland ballroom in New York City, where she she's performing a series of seven performances

Vigogo wa Fifa,Uefa kikaangoni

Maafisa wa Fifa akiwemo Rais wa chama hicho,Sepp Blatter(kushoto) na Michel Platini(Kulia) wamehojiwa kuhusu uhalali wa mkataba wa kuandaa michuano ya Kombe la dunia mwaka 2018 na 2022 kwa Urusi na Qatar. Rais wa Fifa, Blatter na Platini wa shirikisho la soka barani ulaya Uefa, walishiriki katika mchakato huo mwezi Desemba mwaka 2010.Mkuu wa kitengo cha upelelezi ndani ya Fifa anafanya uchunguzi namna ambavyo mchakato huo ulifanyika.

It's official! HTC launches its One (M8) phone with TWO rear cameras - but will it live up to the hype?

  • The HTC One (M8) was officially unveiled at a launch event in London 
  • It is the successor to the Taiwanese firm's award-winning HTC One handset
  • The new device has a 5-inch, full HD screen and 5MP front-facing camera
  • The cameras on the back of the device include a 4.1 Ultrapixel sensor
  • Elsewhere, the phone can be switched on by tapping the screen, and HTC has added advanced photo features, including depth sensors
  • Leaked photos and videos began circulating towards the end of last year 
  • It is being rolled out globally, starting in the UK, and online in the U.S today
  • Carphone Warehouse is offering a SIM-free version for £549.95 on contract
HTC's One (M8) handset, pictured, was officially unveiled at an event in London. It has a 5-inch, full HD screen, duo camera with 4.1 Ultrapixel on the rear, and a 5MP camera on the front
HTC's One (M8) handset, pictured, was officially unveiled at an event in London. It has a 5-inch, full HD screen, duo camera with 4.1 Ultrapixel on the rear, and a 5MP camera on the front

Sunday 23 March 2014

Nguo za asili kwa baadhi ya Makabila ya Kiafrika

Maasai

Coping with separation and divorce

It’s never easy when a marriage or significant relationship ends. Whatever the reason for the split—and whether you wanted it or not—the breakup of a relationship can turn your whole world upside down and trigger all sorts of painful and unsettling feelings. But there are plenty of things you can do to get through this difficult time and move on. You can even learn from the experience and grow into a stronger, wiser person.

Hatimaye PAULO OKOYE wa P Square nae apata jiko

Saturday 22 March 2014

Padri akuta tunguli Kaburini kwa NGWEA! Zimevishwa sanda zikiwa na majina ya watu ....hofu yatanda

Ooo…Nooo! Wakati hati ya kifo cha aliyekuwa rapa bora Bongo, marehemu Albert Keneth Mangweha ‘Ngwea’, ikiendelea kushikiliwa nchini Afrika Kusini alikokutwa na umauti mwaka jana, kwenye kaburi lake kumekutwa tunguli zilizozungushiwa sanda,Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili.

'A dream come true': Kim Kardashian wears wedding dress as she FINALLY lands first American Vogue cover... with fiancé Kanye West

Cover stars: Kim Kardashian and Kanye West have finally made the front cover of U.S. Vogue, appearing on the front of the April edition
Cover stars: Kim Kardashian and Kanye West have finally made the front cover of U.S. Vogue, appearing on the front of the April edition 

LINAH, Unapenda paja lao au matangazo?

KUNA mambo mengine yanafanywa na wasanii wetu yanachanganya sana akili, kiasi cha kukufanya ufikiri mara mbili kama huwa wanafanya tafakuri kabla ya kusema au wanafanya makusudi kwa malengo maalum? Wakati mwingine unadata zaidi unaposikia kauli kama hizo zimetolewa na mtoto aliyelelewa katika aina ya maisha unayoamini yana maadili na vitu kama hivyo.  Estelina Sanga, maarufu kama Linah, ni binti mdogo, ambaye ndiyo kwanza anaanza kuogelea katika umaarufu wa muziki wa kizazi kipya baada ya kuibuliwa pale TanzaniaHouse of Talent (THT).

Thursday 20 March 2014

India's elephant man: Heartbreaking struggle of recluse, 34, who lives in agony with a nine pound face TUMOUR that looks more like a trunk

  • Chana Lal, 35, from Uttar Pradesh suffers from severe neurofibromatosis
  • His illness has seen a once small facial deformity grow into a 9lbs 'trunk'
  • He avoids mirrors and lives alone, supported by his two nieces
Deformed: Chana Lal, 35, who lives  in a remote village just outside Lucknow, in Uttar Pradesh, India, can't eat or talk properly because of his large facial tumour
Deformed: Chana Lal, 35, who lives in a remote village just outside Lucknow, in Uttar Pradesh, India, can't eat or talk properly because of his large facial tumour

Tuesday 18 March 2014

Apokezwa jeneza lenye mzoga wa Paka

Familia ya afisaa mmoja wa Elimu nchini Kenya imepigwa na butwaa baada ya kupata jeneza dogo likiwa limewekwa kwenye mlango wao mjini Kisumu Magharibi mwa Kenya. Kwa mujibu wa taarifa ya gazeti la Taifa Leo, familia ya Afisaa huyo Elias Oganda, mwenye umri wa miaka 56, ilipata jeneza hilo dogo likiwa na mzoga wa Paka nje ya mlango wao na sasa inaishi kwa hofu kubwa.Afisaa huyo anayefanya kazi katika wizara ya elimu, alisema kuwa hii ni mara ya nne katika miezi sita kupata jeneza kama hilo nyumbani kwake.

MUME atelekeza Familia , adaiwa kuishi na Mwanamke mwingine gesti

  • Mke awaibukia, amwaga manyanga, amnyunyuzia pilipili machoni, pachimbika

HII ni fedheha! Mzee Mbonde, mkazi wa Kimara jijini Dar, anadaiwa kutelekeza familiana kwenda kuishi na mwanamke mwingine gesti kisha kufumwa laivu na mkewe, Herieth Mngodo. Tukio hilo lililokusanya kadamnasi ya mjini, lilijiri wikiendi iliyopita katika gesti iitwayo New Samri, Manzese jijini Dar ikiwa ni sehemu ya kazi nyingine nzuri ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers.

Villas- Boas kujiunga na St.Petersberg

Aliyekua Kocha wa Tottenham na Chelsea, Andre Villas-Boas ameridhia kuingia mkataba wa miaka miwili na klabu ya Zenit St Petersburg, taarifa za klabu hiyo ya Urusi zimeeleza. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 36, aliyetimuliwa na Spurs mwezi Desemba atachukua nafasi ya Luciano Spalletti. Villas-Boas atatangazwa rasmi kuwa Kocha mkuu wa Timu hiyo tarehe 20 mwezi Machi.

Wednesday 12 March 2014

Does Drake hold the key? Rihanna rocks Chanel padlock necklace as she and the rapper hit London hotspot Cirque le Soir

Secretive: The pair arrived separately to the venue suggesting that they wanted to keep their meeting under wraps
Secretive: The pair arrived separately to the venue suggesting that they wanted to keep their meeting under wraps 

Tuesday 11 March 2014

Jamani nakufa , niokoeni

WANASEMA ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, ni kweli! Ngaweje Said (39), mkazi wa Kijiji cha Zinga, Bagamoyo, Pwani anateseka na gonjwa asilolijua ambapo nyama kubwa imeota toka juu ya uso upande wa kushoto na kumwagikia kifuani, Uwazi lilikutana naye uso kwa uso. Akizungumza na mwandishi wetu akiwa nyumbani kwake kijijini hapo juzi, Ngaweje alisema:“Ugonjwa huu ulinianza nilipozaliwa tu mwaka 1975 pale Hospitali ya Bagamoyo. Kilianza kipele, lakini kadiri nilivyokuwa nikikua, kipele nacho kilikua.

More like Pink Monday! Nicki Minaj teams figure-hugging jeans with heavily studded jacket and bag as she flies home with Safaree Samuels

Time to Fly: Nicki Minaj was spotted as she arrived at Los Angeles Airport after holidaying in Cabo, Mexico, with boyfriend Safaree Samuels on Monday
Time to Fly: Nicki Minaj was spotted as she arrived at Los Angeles Airport after holidaying in Cabo, Mexico, with boyfriend Safaree Samuels on Monday

Thursday 6 March 2014

Baada ya kutoa picha za PNC sasa Ostaz Juma aanika picha zake na JOHARI

Dunia imekwisha!! Mchungaji aishi na mke wa mtu kinyumba

Mke wa mtu Martha.

Fashenisto Jennifer Lopez

If You Had My Shoes: Nobody appeared to be jealous of J-Lo's footwear as she stepped out with boyfriend Casper Smart in LA on Wednesday
Neno la G-Nako kama member wa Nako 2 Nako kuhusu Lord Eyez kusimamishwa kazi
Kampuni ya Weusi kupitia msemaji wake, Nikki wa hivi karibuni imetangaza kumsimamisha kazi rapper Lord Eyez ambaye mbali na kuwa mwana hisa wa kampuni hiyo, ni member wa kundi la Nako 2 Nako toka Arusha.
Kama inavyofahamika kampuni ya Weusi ilikuwa inaunganisha rappers wa makundi mawili ya wanajeshi wa muziki mzuri toka Arusha, Nako 2 Nako Soldiers na River Camp Soldiers.
Kufuatia uamuzi wa Weusi, G-Nako ameeleza mtazamo wake pia kwa kuzingatia kuwa yule ni mwanafamilia mwenzake wa kundi hilo.

Another wedding for Kardashian ?

**Kourtney Kardashian** and **Scott Disick** have their sights set on tying the knot in Mexico.Kourtney Kardashian Scott Disick
Kim isn’t the only Kardashian planning a wedding! Sources close to Kourtney Kardashian and Scott Disick tell Life & Style the pair are focused on finally tying the knot – by eloping to Mexico!
“Things are going really well between them,” a friend of the Keeping Up With the Kardashian starlet confirms to the mag.
“She’s finally agreed to walk down the aisle.”