Friday 30 August 2013

Kumbe ndio mchezo wake! Aliyempiga Chupa AUNT EZEKIEL ndiye aliyemchana LULU Viwembe

Yvonne
IMEVUJA! Mtuhumiwa aliyempiga chupa mwigizaji Aunt Ezekiel Jumapili iliyopita nje ya Ukumbi wa Bilicanas ndiye aliyewahi kumchana viwembe mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwaka 2011.

DIAMOND amnunulia Mzee MUHIDINI NGURUMO gari!

Pichani juu ni gari aina ya FunCargo lenye namba za usajili T789 AYS alilopewa Mzee Muhidin Gurumo na msanii mahiri wa muziki wa Bongofleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wakati akizindua video yake mpya iitwayo 'Number One' jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

RAY C aokoka?


'I thought I'd found the love of my life': Mother, 38, believes she was infected with HIV after now dead ex-boyfriend failed to tell her he had the virus


  • Former shop worker Sarah Watson thought she had found the love of her life when she met Ghanaian-born Henry Assumang in 2007
  • But 18 months later the couple split up because of 'trust issues'
  • In 2010 she received a visit from police who asked if she had slept with Mr Assumang as blood tests at a deportation centre had shown he had HIV 
  • Following day she was given news that she too was HIV-positive
  • Mr Assumang denied knowing he had HIV until he died but Ms Watson said he was fully aware that he was carrying the virus when they were together

Sarah Watson

A woman has spoken of her devastation after discovering she caught HIV from an ex-boyfriend.
Sarah Watson, 38, thought she had found the love of her life when she met Ghanaian-born Henry Assumang in 2007.

Kioo cha jamii!..... Wasanii wetu ndani ya FIESTA 2013

WEMA aweka wazi ushosti wake na KAJALA

KASUMBA ya wanawake wengi kuwaambia mashoga zao siri zao nzito inadaiwa kumfanya msanii maarufu wa filamu Bongo, Wema Sepetu kufunguka kuwa, bila kuwa karibu na Kajala Masanja itakuwa ni kama kuamua kutembea mtupu. Wema alifikia hatua ya kutoa maneno hayo katikati ya wiki hii kwa kuposti picha kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha yeye, meneja wake Martin Kadinda na Kajala huku akisindikiza na ujumbe mzito uliosomeka: “I always call my poch and I fell so naked without, I need her everywhere with me. I hope that’s how they out each other.”

Inside El Salvador's secretive prison pits where notorious gangs are crammed together like livestock in cells the size of a shed


  • New report reveals the shocking conditions that members of El Salvador's violent and bloody MS-13 and M18 gangs are forced to live in
  • Huddled in holding cells designed for 72-hour stays - some men have been exposed to unsanitary and diseased conditions for over a year
  • An uneasy truce has existed since March 2012 between the two gangs

Prison Pits: Members of El Salvador's rival gangs the Mara Salvatrucha (MS-13) and Barrio 18 (M18) are penned in cages that are only meant to be used for temporary stays
Prison Pits: Members of El Salvador's rival gangs the Mara Salvatrucha (MS-13) and Barrio 18 (M18) are penned in cages that are only meant to be used for temporary stays

Msaada tutani .......Mke wangu anashida nisaidieni....

<3

Habari zenu wapendwa!
Ninaomba mnisaidie ushauri wa tatizo hili..........Kila nikikutana kimwili na mke wangu analalamika sana kuwa anasikia maumivu, najitahidi kuchukua muda mrefu wa kumuandaa lakini ila malalamiko ni yaleyake , je nifanyaje au kuna njia yoyote ninayoweza kutumia  ili kuongeza utelezi na ulainishi wa uke ili nae afaidi?

Uncle B, Dar

PENNY afunguka : “Yatasemwa mengi lakini siwezi kumuacha Diamond

Baada ya hivi karibuni kuandikwa habari iliyoeleza kwamba nchini Kenya kuna demu aliyemzimikia ile mbaya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku akiahidi kumpa penzi zito, mpenzi wa msanii huyo Peniel Mwingilwa ‘Penny’ ameibuka na kudai hatishwi na maneno hayo.

Kipaji.


Thursday 29 August 2013

Aunt EZEKIEL aumizwa vibaya KLABU!

MWIGIZAJI levo ya juu katika sinema za Bongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa mkononi, Risasi Mchanganyiko lina ishu nzima.

Trafiki FEKI kumbe ni Mfungwa aliyetoroka gerezani!

MAZITO tena yameibuka kuhusu yule trafiki feki James Hussein, mkazi wa Kimara Matangini, jijini Dar es Salaam ambaye yuko  Gereza la Segerea, Dar akikabiliwa na kesi ya kujifanya askari wa usalama barabarani, Amani lina mpya hiyo. Habari za ndani kutoka Gereza la Isanga, Dodoma zinadai kuwa, trafiki huyo ana mambo mengi ya kushangaza ambayo Watanzania wengi hawayajui.

Sunday 25 August 2013

Trafiki FEKI atoa viroja mbele ya Hakimu

JAMES Hussein, mkazi wa Kimara, Dar alikuwa na wakati mgumu wa kukwepa kamera zilizotua Mahakama ya Wilaya Ilala, jijini Dar juzi baada ya kufikishwa kwa kosa la kujifanya trafiki.

NISHA afunguka kuhusu mahusiano yake na NEY wa MITEGO HAKUNIPATA KIRAHISI

Mwigizaji  wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka na kusema kuwa kiukweli Ney alimpenda sana........na kwa sasa  anajivunia kupendwa na kijana huyo kwani alihangaika sana kumpata. Akizungumza na mmoja wa mapaparazi, Nisha alisema Ney alimfuatilia kwa kipindi kirefu na alimzungusha kama miaka miwili kabla hata hajawa staa. “Nikivuta ile picha ya kumdengulia kiasi kile mpaka kuamua kumkubali, naamini alinipenda tu na hata kama hakunipenda lakini najivunia kwamba alihangaika kunipata,” alisema Nisha. Mapenzi ya wawili hao inasemekana hayakudumu kwa muda mrefu iliwachukua miezi kadhaa   kabla ya kuachana na kila mmoja akichukua time yake.

Fashenisto Lady Gaga

And again: Lady Gaga opted for another black lacy number during New York stroll in July

Friday 23 August 2013

Picha ya mtoto wa Kanye na Kim hii hapa.......


Kim Kardashian Baby Photo





Habari kamili fungua hapa - North West

Flat shoes for women


Dk. Nchimbi awatimua vigogo wa polisi

SERIKALI imewafukuza kazi maofisa wanne wa Jeshi la Polisi na wengine kadhaa wakivuliwa vyeo. Maofisa hao, wanadaiwa kushiriki kwa namna moja au nyingine katika matukio yaliyotokea mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Morogoro na Kigoma. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, alisema miongoni mwa askari hao ni wale waliohusika kutumia gari la Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kusafirisha bangi katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Tazama picha za ndege Tanzanair iliyozama ziwa manyara 22/08/2013


Gwiji Gurumo ang’atuka

1940: Alizaliwa Kisarawe, Pwani 
1960: Alianza muziki 
Bendi alizopiga: Kili Chacha, Kilwa Jazz, Rufiji Jazz, DDC Mlimani, Safari Sound na Msondo Ngoma.  

Makavu Laivu Simu


Nani zaidi kati ya hawa?

Yanga wamuongezea adhabu Mrisho Ngassa?

IMEFAHAMIKA kuwa Klabu ya Yanga, ndiyo iliyochangia ukubwa wa adhabu aliyopewa kiungo wake mshambuliaji Mrisho Ngassa, Championi Ijumaa limebaini. Taarifa hiyo inakuja wakati ambao Ngassa amefungiwa kucheza mechi sita za mashindano pamoja na kuilipa Simba jumla ya shilingi milioni 45, sababu kubwa ikiwa ni kusaini mikataba miwili, ule wa Yanga na ule wa Simba.

Madawa ya Kulevya yamfilisi AISHA MADINDA

WIMBI la uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya limeshika kasi hivi sasa kwa wasanii na watu mbalimbali huku Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe akilivalia njuga kulikomesha.Wakati hayo yakiendelea, mnenguaji aliyetikisa anga la muziki wa dansi nchini, Aisha Mohammed Mbegu ‘Aisha Madinda’ amejuta kutokana na kufilisika baada ya kutumia madawa ya kulevya, Ijumaa linakupasha kwa kina.

Thursday 22 August 2013

Full Aibu ................FUMANIZI CHOONI



FUMANIZI la chooni limezua kizaazaa! Jamaa aliyetambulika kwa jina moja la Juma, mkazi wa Tegeta A, Dar amejikuta akikamuliwa faini ya Sh. laki tano kufuatia kufumwa ugoni na mke wa mtu. Katika tukio hilo lililojiri Kimara-King’ong’o, Dar, Jumapili iliyopita, Juma alifumaniwa na mke wa mwanaume aitwaye Swai aliyetajwa kwa jina moja la Cesilia, mkazi wa maeneo hayo.

Robert Mugabe kuiongoza Zimbabwe

Rais Mugabe
Robert Mugabe ameapishwa kwa mara ya saba kama kiongozi wa Zimbabwe. Siku hii ya Alhamisi imetangazwa kuwa siku kuu kuwawezesha wafuasi wa kiongozi huyu mwenye umri wa miaka 89 wahudhurie sherehe za kuapishwa. Sherehe za kuapishwa kwake zimekuwa zikicheleweshwa kwa sababu ya kesi iliyokuwa imewasilishwa mahakamani kupinga kuchaguliwa kwake na mpinzani wake mkuu Morgan Tsvangirai , ambaye alidai kulikuwa na wizi wa kura.

Hii ni noma...... Afisa Usalama feki mbaroni

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata Alquine Claud (42 - pichani) mkazi wa Yombo Buza wilayani Temeke kwa tuhuma za kujifanya ofisa Usalama wa Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna Suleiman Kova alisema kuwa baada ya mtuhumiwa kuhojiwa alikiri kuwa hakuwa mfanyakazi wa Idara ya Usalama wa Taifa.

I like this couple.................

Ready to wed: The couple - pictured in LA on June 30 - legally wed on July 8, before celebrating with friends and family on August 18 at their official nuptials

Familia ya MASOGANGE yamwachia MUNGU

FAMILIA ya Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ inadaiwa kumwachia Mungu ishu ya binti huyo kukamatwa na madawa ya kulevya Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa ndugu mmoja wa familia hiyo aliyeomba jina lake lisitiriwe, wameamua kumwachia Mungu ishu hiyo kwani ndiye anayejua ukweli.

Kenya First Family Photo Album........ hii hapa


'A car crash broke my face in half': Man, 22, is left with 42 fractures in his face and blind in one eye after 50mph collision


  • Sam Fretwell was wearing a seatbelt during the accident in May last year
  • Force of the impact sent his face into the steering wheel, 'breaking it in half'
  • He needed reconstructed eye sockets, metal plates fitted in his face and was was blind in one eye
  • Has now made a remarkable recovery and has started his own car business

Sam Fretwell, 22, was involved in a 50mph car crash.

Sam Fretwell, 22, was involved in a 50mph car crash. He said: 'When I hit my head on the steering wheel, it knocked me out straight away but I am told I had crushed my nose, which had slipped down about two inches and the cartilage had burst out of my skin. I had smashed my face to bits'

Sakata la Madawa ya kulevya ...Mama mzazi wa Bint KIZIWI afunguka


HATIMAYE mama mzazi wa Sandra Khan maarufu Binti Kiziwi, amefunguka kuhusu madai kwamba mwanaye amenyongwa nchini Hong Kong baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya. Mama huyo aitwaye Rehema Selemani mkazi wa Sinza Kijiweni jijini Dar, amesema kuwa mwanaye amefungwa miaka mitatu na nusu na anawasiliana naye kwa njia ya simu kila baada ya miezi miwili.

Baada ya kufiwa na Babu yake KANYE WEST amtoa Mtoto wake hadharani?

Paying their respects: Kim Kardashian carried baby North under a grey shawl as they leave the funeral of Kanye West's grandfather Portwood Williams Senior in Oklahoma on Saturday

Unataka kuchumbia au kuchumbiwa? chagua mitindo ya pete za uchumba hapa

Wednesday 21 August 2013

OMG.... Wastara ni mzuri jamani hebu angalia piza hizi


Picha za Uchi zamtokea puani

Man, 21, abducted by child traffickers 19 years ago is reunited with his family after routine DNA test reveals his true past

  • Xiao Ji was kidnapped on streets of Guangzhou, China as a toddler
  • But his parents kept looking for him and police matched their DNA to his
  • Now he says he wants to stay in touch with both his families
Reunion: 21-year-old Xiao Li with his birth father Huang Shouping 19 years after he was abducted and sold
Reunion: 21-year-old Xiao Li with his birth father Huang Shouping 19 years after he was abducted and sold

Chezea Mapenzi wewe! ONEZA forever? FEZA amfuata Oneal Botswana......

Diamond atajwa sakata la ‘unga’


  • Utajiri, safari zake nje ya nchi vyatiliwa shaka
  • Ahusishwa na mtandao hatari wa Masogange
KWA mara ya kwanza tangu lilipoibuka sakata la watu maarufu kujihusisha ama na utumiaji au usafirishaji wa dawa za kulevya, jina la mwanamuziki anayeaminika kuwa na ukwasi mkubwa kwa sasa hapa nchini, Nasseeb Abdulmaliki, maarufu zaidi kwa jina la Diamond, limeanza kutajwa kuwa ni miongoni mwa vigogo wa ‘unga.’

Umejifunza nini kupitia picha hii?

Cutest-kisses

Tuesday 20 August 2013

Mtandao wa wauza unga wanaswa

MTANDAO hatari wa unga nchini Tanzania umeshanaswa, kwa sasa unafanyiwa kazi kwa kasi na Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya, chini ya kamanda wake, Godfrey Nzowa. Habari njema kuhusu kunaswa kwa mtandao wa unga, zinakuja baada ya Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe kufanya kazi nzuri na kuwataja watu ambao inadaiwa walihusika katika kupitisha madawa ya kulevya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam.

Huu ni utamaduni au ?

Utamaduni wa kucheza uchi au nusu uchi upo kwenye mataifa mengi sana, lakini sijawahi kuwa kuna kundi la wanaume wacheza uchi, kila nikisikia habari za kusasambua na kumwaga radhi wahusika wakuu huwa ni wanawake. Jamani kwanini wanawake pekee ndio wanaopenda kuonyesha miili yao, kwanini sio wanaume? Je ni kwamba wanawake wanaona fahari sana kuonyesha nyeti zao mbele ya kadamnasi, na wanaume wanaona aibu sana kufanya hivyo?

Hapa naomba sana msaada wa majibu katika maswali haya

Uncle Bujibuji

KAJALA aweka wazi kila kitu ndani ya Mkasi


BILIONEA wa HOME SHOPPING CENTRE ashindikana kutibiwa Afrika ya Kusini... akimbizwa Ujerumani

Hakika aliyemmwagia tindikali bilionea Said Mohamed Saad, alifanya kitendo kibaya kupitiliza, kwani athari ambazo amemsababishia ni kubwa kiasi ambacho hata upatikanaji wa tiba mahsusi umekuwa wa kutangatanga. Gazeti hili linazo taarifa za ndani na zenye uhakika kuwa Said ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Home Shopping Centre, amekimbizwa Ujerumani kwa matibabu zaidi baada ya kushindikana Afrika Kusini alikopelekwa awali.
FILE - This Nov. 2011 file photo, shows members of the Mashco-Piro tribe, photographed at an undisclosed location near the Manu National Park in southeastern Peru. More than 100 Mashco-Piro appeared across a river from the remote community of Monte Salvado in Madre de Dios state, says Klaus Quicque the president of the regional FENAMAD indigenous federation on Monday, Aug. 19, 2013. The Maschco-Piro first appeared in May 2011 after more than two decades in voluntary isolation. (AP Photo/Diego Cortijo, Survival International, File)
LIMA, Peru (AP) — Members of an Indian tribe that has long lived in voluntary isolation in Peru's southeastern Amazon attempted to make contact with outsiders for a second time since 2011, leading to a tense standoff at a river hamlet. Authorities are unsure what provoked the three-day encounter but say the Mashco-Piro may be upset by illegal logging in their territory as well as drug smugglers who pass through. Oil and gas exploration also affects the region.

Wedding dresses for ladies

Mapenzi yamfikisha pabaya....Ajilipua kwa PETROLI baada ya MUME kuoa MKE wa pili

MWANAMKE mmoja ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Nyankumbu, Kata ya Kalangalala mkoani  Geita amenusurika kifo baada ya kujimwagia mwilini mafuta ya petroli kisha kujilipua baada ya mumewe kuoa mke wa pili.  Imeelezwa kuwa mwanamke huyo, Anastazia Kubezya (28) Agosti 8 mwaka huu aliamua kujimiminia petroli mwili mzima kabla ya kuchukua kiberiti na kujilipua, hali iliyosababisha  akimbizwe katika Hospitali ya Geita alikolazwa katika wodi namba saba kwa matibabu. 

Pakistan's Musharraf charged with murder of Benazir Bhutto

File photo of Pakistan's former President Pervez Musharraf speaking during a news conference in Dubai
RAWALPINDI, Pakistan (Reuters) - A court in Pakistan charged former military dictator Pervez Musharraf on Tuesday with the 2007 murder of Benazir Bhutto in an unprecedented move likely to anger the all-powerful army. The indictment of the army chief who seized power in a 1999 coup - once Pakistan's most powerful man - was almost an unthinkable event in a nuclear-armed country ruled by the military for half of its 66-year history.

Monday 19 August 2013

Dread ndefu kupita zote duniani?

Heavy: Medics said her hair has caused a curvature of the spine and for her neck to collapse at the back

Malinzi achukua fomu ya urais TFF

ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Yanga SC, Jamal Malinzi amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 27, mwaka huu. Fomu hizo zilianza kutolewa juzi. Jumla ya wagombea 25 katika nyadhifa mbalimbali wameshachukua fomu.

working suits for ladies

MASOGANGE mikononi kwa MWAKYEMBE!

VIDEO Queen wa wimbo wa Masogange wa Belle 9, Agnes Gerald ‘Masogange’ amejikuta mikononi mwa Waziri wa Uchukuzi, Dr. Harrison George Mwakyembe akichukua dakika kadhaa kumzungumzia huku akiwa ameshika iPad yenye picha za msanii huyo. Akizungumza na mapaparazi ofisini kwake jijini Dar, Agosti 16, 2013 wakati akitaja majina ya maafisa wa mtandao wa wauza madawa ya kulevya ambayo ni wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Mwakyembe alisema anawashangaa waliomruhusu msanii huyo kupita na mzigo wa unga.

Bedroom Decoration